Page 39 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 39
8. Ndege wa Porini
Mlango 15. Kilio cha Ndege wa Porini
Mlango 16. Sikukuu ya Mavuno
Kusikiliza na kuzungumza
Visawe vya maneno matatu
Chati ya visawe vya maneno matatu
Neno Visawe vya maneno matatu
1. hasira kero hamaki ghadhabu
2. lengo nia azma kusudi
3. maskini fukara mlalahoi mkata
4. pesa ngwenje fedha hela
5. hongo rushwa chai kadhongo
6. kijiji kitongoji kaya karia
7. soka kandanda kabumbu gozi
8. furaha faraja ucheshi naima
9. chakula mlo dishi maakuli