Page 38 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 38

7.     kuchora                            kuchora

                8.     kupima                             kupima

                9.     kuosha                             kuosha

                10.    kupika                             kupika

               Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya KU-KU

               Sikiliza sentensi zenye nomino za ngeli ya KU-KU
               zikisomwa.






               1.   Kupika kunakozingatia usafi kunapendeza.

                   Kupika kunakozingatia usafi kunapendeza.
               2.   Kufyeka nyasi ndefu kunazuia kuenea kwa mbu.

                   Kufyeka nyasi ndefu kunazuia kuenea kwa mbu.
               3.   Kulima kwa kisasa kutatosheleza chakula.
                   Kulima kwa kisasa kutatosheleza vyakula.

               4.   Kuandika kuzuri kunamvutia mtu.
                   Kuandika kuzuri kunawavutia watu.

               5.   Kuosha chombo vizuri kunazuia ugonjwa.
                   Kuosha vyombo vizuri kunazuia magonjwa.
   33   34   35   36   37   38   39   40   41   42   43