Page 10 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 10
3. Mapambo
Mlango 5. Maonyesho ya Urembo
Mlango 6. Furaha na Fahari
Sarufi
Nomino za makundi
1. halaiki ya watu 2. umati wa watu
3. kaumu ya watu 4. tita la nguo
5. bunda la nguo 6. kicha cha funguo
7. kicha cha mboga 8. bunda la noti
9. bunda la karatasi 10. shada la maua
11. mtungo wa maua 12. koja la maua
13. jaa la taka 14. biwi la taka
15. biwi la magugu 16. hombo la samaki
17. mtungo wa samaki 18. tumbi la samaki
19. baraza la wazee 20. jopo la waandishi
21. pakacha la matunda 22. kichala cha matunda
23. wingu la nzige 24. wingu la moshi
25. mzinga wa nyuki 26. kikoa cha waimbaji
27. kikoa cha wachezaji 28. kikosi cha askari