Page 9 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 9
Maagano
Ambatanisha maagano na majibu sahihi.
Maagano Majibu
1 Kwaheri ya kuonana. Ya mafanikio.
2 Alamsiki. Buriani dawa.
3 Lala salama. Asante. Nawe ubaki salama.
4 Ndoto njema. Kwaheri ya kuonana.
5 Safiri salama. Asante. Nawe pia.
6 Buriani. Inshallah!
7 Tutaonana tena. Nawe pia.
8 Usiku mwema. Binuru.