Page 8 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 8
2. Huduma ya Kwanza
Mlango 3. Somo la Kamusi Darasani
Mlango 4. Ajali Haibishi Hodi
Kusikiliza na kuzungumza
Maamkuzi
Ambatanisha maamkuzi na majibu sahihi.
Maamkuzi Majibu
1 Habari? Sijambo.
2 Uhali gani? Masalkheri.
3 Shikamoo. Nzuri.
4 Waambaje? Chewa.
5 Sabalkheri? Marahaba.
6 Masalkheri? Njema.
7 Hujambo? Salama.
8 Salaam aleikum. Sina la kuamba.
9 Chewa! Sabalkheri.
10 Umeamkaje? Aleikum salaam.