Page 3 - Kiswahili Grade 5 Yaliyomo ya kidijitali
P. 3
Kusoma kwa ufahamu
• Shairi : Fimbo ya umaskini
• Shairi : Ukata hauna tamu
Sarufi
• Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-ZI
• Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-ZI
6. Maadili
Kusikiliza na kuzungumza
• Shairi : Wahuni wa kijijini
• Shairi : Maadili niyaghani
Sarufi
• Umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya U-YA
• Umoja na wingi wa sentensi katika ngeli ya U-YA
Kusoma kwa mapana
• Matini 1: Kisa cha Mtema na Malaika
• Matini 2: Mwuzatiketi na mzee mwadilifu
• Matini 3: Fadhila za punda
• Matini 4: Uongo haufai
7. Elimu ya mazingira
Kusoma kwa mapana
• Matini 1: Ndoto ya Mzee Saka
• Matini 2: Maisha yangu kama chupa ya plastiki
• Matini 3: Naipenda dunia (baruapepe)
Kuandika
• Kielelezo cha insha ya maelezo (Miti ni uhai)